SUPERGANDA

YOUR BEST YOUTUBE TV

LightBlog

SUPERGANDA

Usiache kutembela channel yetu ya youtube kila siku

MAPENZI

Friday 30 March 2018

MJOMBA ANANITAKA KIMPAENZI NIFANYEJE NIPE USHAURI

wapendwa wa kuu wa kaya hi,nawasalimu...
week kama mbili hivi nilipata uwamisho wa kazi kwenda tanga,ikwa vile nilikuwa bado sijapata makazi nilifikia kwa uncle wangu,na kweli nilikaribiswa vizuri sana na uncle na anti,tatizo lilianza kama wiki moja kupita,siku mmoja jumapili nikwa nimejipumzisha sebuleni nikiwa na angalia tv anti alikuja tukawa tumejumuika pamoja,angalizo anti hatuja pishana sana umri na ni sister du,mtoto wa mjini,mikao aliokuwa anakaa pale sebuleni na kinguo alicho kivya kwa kweli kama rijali unaweza kutegeka,basi nikaone nitoke pale kuepusha shari nika aga naenda chumbani kupumzika, baada kama ya dakika kama 30 nilisikia mlango wa chumbani kwangu ukifunguliwa kuhamaki alikuwa anti na kanga moja,alifunga mlango na kudondosha kanga na kubaki kama alivyo zaliwa akielekea kitandani nilipo,nilipigwa na butwaa,katika mvutano wa hapa na pale niliweza kuponyoka na kutoka chumbani nikamuacha chumbani kwangu,niliamua kuondoka kabisa hapo nyumbani nikaenda matembezi...nikiwa huko alinitumia msg ''..........nakupenda sana tokea siku nilipo kuona,na mjomba ako anirizishi ninavyo taka,naomba msaada wako"kikweli nilichanganyikiwa na tokea siku hiyo na mkwepa kwepa ila naona aibu tukiwa wote na uncle na yeye.je nimwambie uncle maana bado ananitumia msg za kunitaka kimapenzi

No comments:

Post a Comment